Loading TanTrade Digital Services…

List of Exhibitors under REAL ESTATES Sector

Karibu kwenye Banda la SITE TO SITE REAL ESTATE CO. LIMITED Tunafurahi kukukaribisha kutembelea banda letu katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba). Tunakuletea fursa mbalimbali za uwekezaji katika viwanja vilivyopimwa, mashamba, nyumba, usimamizi wa mali, ujenzi, usanifu wa majengo na ushauri wa kitaalamu wa masuala ya real estate. Tembelea banda letu ujionee miradi yetu na upate ushauri wa bure kutoka kwa wataalamu wetu. Build • Invest • Succeed SITE TO SITE REAL ESTATE CO. LIMITED Your Trusted Partner in Land, Property and Real Estate Investment.

READ MORE