BENNO BENNO MWITUMBAKaribu kwenye Norland Tanzania Virtual Pavilion!
Karibu kwenye Norland Tanzania Virtual Pavilion! Tunafurahi kukukaribisha kujifunza kuhusu suluhisho za afya, detoxification, lishe, na fursa za ujasiriamali zinazotolewa na Norland. Tembelea banda letu kuona bidhaa zetu, kupata elimu ya afya, na kugundua namna tunavyosaidia kujenga jamii yenye afya bora na uchumi imara. "Afya Bora, Maisha Bora, na Uwezeshaji wa Jamii."