List of Exhibitors under Innovations And Ict Equipments Sector
Science Innovation Limited inakukaribisha kwenye banda la Imarisha Academy. Imarisha Academy ni mfumo wa kidijitali wa kujifunzia na kufanya mazoezi ya mitihani kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini Tanzania. Kupitia Imarisha Academy App, mwanafunzi anaweza kujifunza mtandaoni, kufanya mazoezi ya maswali yanayoendana na mtaala, kupata majibu papo hapo, na kuboresha matokeo yake. Tembelea banda letu kujifunza jinsi Imarisha Academy inavyowasaidia wanafunzi, wazazi, walimu na shule kutumia teknolojia kuboresha ujifunzaji, maandalizi ya mitihani na ufuatiliaji wa maendeleo ya mwanafunzi.
READ MORE